Songtext
african burterfly
mungu kaumba wengi natambua,uzuri wao sio kitu nataka tangazo na tangaza huyu hapa,anakile ninacho taka walisema we mtata,mbona kwangu hakuna matata hata usiku wa saa saba,anakuja bila shaka (bridge) kila mtu eyes on me eyes on me,hawaoni nimekupa nini wawish nikukosea please mama pray for me pray for me,nisije nikakukosa ooohh (chorus) you my african burterfly am ur african handsome boy x2 mmh sie kwetu bado sherehe,penzi lime panda ndege nafurahi ukiniita babe eeh,sifa ya upendo amani huba huru ni nuru nikikosa niseme,nilinuna ni bebe yee yeee (bridge) kila mtu eyes on me eyes on me,hawaoni nimekupa nini wawish nikukosea please mama pray for me pray for me,nisije nikakukosa ooohh (chorus) you my african burterfly am ur african handsome boy x2