歌詞
pamela
VIPIMO vimelingana,mzani upo sawasawa Namjua ani jua,sie ndege twafanana Sio posa tu na barua,ndoa ipo kwa kalenda Penzi manukato ya maka,tumelipamba pambe ayayayaya (Bridge¬) Vidole vya wasimama,vidomo vimepauka wa mbea Aaaahhhh aahhhh aaahhhh (chorus) Pamelaaa pamelaaa,pamelaaa ,Pamela aleleee nakukundaa x3 Mie maji ye tambala la deki,alfajiri tu ashalowana Namkanda na futa la karafuu,unyayo mpaka kwa bega Usoni namfukiza na maji ya vugu vugu huku tukipapasana Na nyama nyama ziki pambanaa ayayaaya (Bridge¬) Vidole vya wasimama,vidomo vimepauka wa mbea Aaaahhhh aahhhh aaahhhh (chorus) Pamelaaa pamelaaa,pamelaaa ,Pamela aleleee nakukundaa x3