pamela

pamela

rhumba happy sad romantic zouk rnb pop

02:56

Tekst

pamela

VIPIMO vimelingana,mzani upo sawasawa
Namjua ani jua,sie ndege twafanana
Sio posa tu na barua,ndoa ipo kwa kalenda
Penzi manukato ya maka,tumelipamba pambe
ayayayaya
(Bridge¬)
Vidole  vya wasimama,vidomo vimepauka wa mbea
Aaaahhhh aahhhh aaahhhh
(chorus)
Pamelaaa pamelaaa,pamelaaa ,Pamela aleleee nakukundaa x3
Mie maji ye tambala la deki,alfajiri  tu ashalowana
Namkanda na futa la karafuu,unyayo mpaka kwa bega
Usoni namfukiza na maji  ya vugu vugu  huku tukipapasana
Na nyama nyama ziki  pambanaa
ayayaaya
(Bridge¬)
Vidole  vya wasimama,vidomo vimepauka wa mbea
Aaaahhhh aahhhh aaahhhh
(chorus)
Pamelaaa pamelaaa,pamelaaa ,Pamela aleleee nakukundaa x3