african burterfly

african burterfly

rhumba happy sad romantic zouk rnb pop

02:09

Letras

african burterfly

mungu kaumba wengi natambua,uzuri wao sio kitu nataka
tangazo na tangaza huyu hapa,anakile ninacho taka
walisema we mtata,mbona kwangu hakuna matata
hata usiku wa saa saba,anakuja bila shaka
(bridge)
kila mtu eyes on me eyes on me,hawaoni nimekupa nini
wawish nikukosea
please mama pray for me pray for me,nisije nikakukosa
ooohh
(chorus)
 you my african burterfly am ur african handsome boy x2
mmh sie kwetu bado sherehe,penzi lime panda ndege
nafurahi ukiniita babe eeh,sifa ya upendo amani 
huba huru ni nuru nikikosa niseme,nilinuna ni bebe
yee yeee
(bridge)
kila mtu eyes on me eyes on me,hawaoni nimekupa nini
wawish nikukosea
please mama pray for me pray for me,nisije nikakukosa
ooohh
(chorus)
 you my african burterfly am ur african handsome boy x2