
CALVARY CHURCH
가사
CALVARY CHURCH
Kanisa la Kalvary Pentecostal church Tunakukaribisha kwenye ibaada zetu kila alihamisi kuanzia kumi na moja hadi moja. Karibu Tusali Pamoja Mtu Wa Mungu. Na Jumamosi kuanzia saa tatu na nusu Asubuhi hadi saa tano na nusu Karibu Sana Hapa Ndio Mahali Takatifu. Na Jumapili kuanzia saa tisa za jioni hadi saa kumi ma moja. Karibu Sana Tusali Pamoja katika Address ya 3060 54th st, San Diego California 92105. Ma Baba yetu pastor Daniel bartazar Wote tunawakaribisha Sana!!
